Responsive image
Responsive image
Posted : April 14, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
upepo mkali umesababisha moto kusini mwa nchi ya SENEGAL.
Responsive image

Watu ishirini na wawili wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya moto kuzuka wakati waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika HIJJA kusini mwa nchi ya SENEGAL.

Chanzo cha moto huo, hakijafahamika, lakini vyombo vya habari nchini humo vinasema upepo mkali umesababisha moto huo kusambaa kwa haraka katika kambi zilizokuwa kwenye eneo hilo.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment