Responsive image
Responsive image
Posted : April 13, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Kampuni Saba za watoa huduma za mawasiliano nchini zimetozwa faini ya kati ya shilingi milioni 700 kwa kutoa huduma zisisizo na ubora.
Responsive image

Kampuni Saba za watoa huduma za mawasiliano nchini zimetozwa faini ya kati ya shilingi milioni 700 kwa kutoa huduma zisisizo na ubora.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA Mhandisi James Kilaba amesema kampuni hizo zinadaiwa kufanya makosa hayo kati ya Januari na Machi mwaka huu.

TCRA imewataka watoa huduma kukidhi vigezo vya utoaji huduma bora.

april 13, 2017

Doreen Mlay

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment