Responsive image
Responsive image
Posted : April 12, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Msanii Jesca Honore amesema amejipanga kuwapa burudani ya kutosha wapenzi wa muziki wa injil wakati wa pasaka
Responsive image

Msanii Jesca Honore amesema amejipanga kuwapa burudani ya kutosha wapenzi wa muziki wa injili siku ya tamasha la Pasaka lilopangwa kufanyika April 16 mwaka huu huku.

Wakizungumzia maandalizi ya Tamasha hilo msanii Jesca amesema ataimba kwa kutumia bendi nyimbo zake mpya huku mwandaji a tamasha lenyewe Alex Msama akizungumzia maandalizi ya tamasha Tamasha la Pasaka litashirikisha wasanii mbalimbali wa hapa nyumbani pamoja na nje ya nchi ikiwemo wasanii kutoka Kenya na Afrika Kusini hapa tupate burudani.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment