Responsive image
Responsive image
Posted : April 06, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Mitindo, Wasichana wengi wana kipaji cha fani hii.
Responsive image

Wasichana wenye vipaji mbalimbali nchini wameshauriwa kuvitumia vipaji vyao ili waweze kujiletea maendeleo wao wenyewe na jamii kwa ujumla.

 

Rai hiyo imetolewa na mwana mitindo chipukizi Prisca Gilli ambae amesema kama wasichana watatumia vipaji vyao ipasavyo wataondoa tatizo la ukosefu wa ajira nchini.

 

Prisca ni mmoja ya wanamitindo chipkizi hapa nchini ambae ameshawahi kushiriki kwenye mashindano swahili fasheni yanayofanyika karibu kila mwaka.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment