Responsive image
Responsive image
Posted : March 29, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Ufaransa, Francois Fillon na mke wake.
Responsive image

Mke wa Mgombea wa Urais wa Ufaransa Francois  Fillon amewekwa chini ya uchunguzi kufuatia tuhuma za udanganyifu na ufisadi.

 

Jambo hili linahusishwa na jukumu la Penelope Fillon  kama msaidizi wa mumewe katika shughuli za bunge, ambapo alilipwa maelfu ya dola, lakini inadaiwa kuwa alifanya kazi ndogo na kuwa pesa aliyolipwa haikuwa kwa ruhusa ya bunge la ufaransa .

 

Fillon  amesema kuwa uchunguzi huo umetegeshwa makusudi ili kuweza kuharibu matumaini yake ya kushinda uraisi.

 

Raundi ya kwanza ya uchaguzi uko ndani ya muda wa wiki tatu na nusu kuanzia sasa

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment