Responsive image
Responsive image
Posted : March 27, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Sehemu ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya soka ya Burundi waliopo nchni kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya Tanzana, Taifa Stars
Responsive image

Timu ya taifa ya Burundi ipo nchini kuikabili timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika siku ya Jumanne katika uwanja wa taifa  Jijini Dar es salaam.

 

Kikosi hicho cha Burundi kinaendelea na mazoezi uwanja wa Karume tayari kujianda kuivaa Taifa Stars ambapo wachezaji wengi watakaocheza mchezo huo ni wale wanaocheza soka ndani ya nchi.

 

Taifa Stars itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mchezo wa kirafiki dhidi ya Boswana baada ya kuwanyuka magoli mawili.

 

Magoli hayo ya Taifa Stars yalifungwa na Nahonda wa timu hiyo Mbwana Samatta.

 

 

EVANCE MHANDO

MACHI 27, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment