Responsive image
Responsive image
Posted : March 24, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Katibu mkuu wa Wizara ya Habari,Utamadanu Sanaa Na Michezo, Professa, Elisante Ole Gabriel akitoa hotuba alipozindua maonesho ya wiki ya Filamu za kichana yaliyofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es salaam.
Responsive image

Serikali ya Tanzania imeiomba serikali ya China kusaidia katika eneo la Technolojia ya uzalishaji wa Filamu ili filamu zitakazozalishwa nchini ziweze kutamba katika anga za kimataifa.

 

Hayo yamesemwa na katibu mkuu wa Wizara ya Habari,Utamadanu Sanaa Na Michezo, Professa, Elisante Ole Gabriel wakati akizindua maonyesho ya wiki ya Filamu za kichana yaliyofanyika katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es salaam.

 

Kwa upande wake mkurugenzi wa habari na matukio wa shirika la utangzaji tanzania TBC, Suzan Mungi amesema,umefika wakati kwa Filamu za kitanzania kuonyeshwa nchini China kama ilivyo Filamu za kichina zinavyonyeshwa Tanzania, kauli iliyoungwa mkono na Mkuu wa idhaa ya kimataifa ya Radio China kwa Afrika,Jiang Ai Min.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment