Responsive image
Responsive image
Posted : March 07, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Serikali imesema inafanyakazi kubwa ya kulinda haki za wasanii
Responsive image

Serikali imesema inafanyakazi kubwa ya kulinda haki za wasanii hasa haki za umiliki na ubunifu.

 

Kauli  hiyo imetolewa na Kaimu mkugenzi msaidizi wa biashara ya nje, toka wizara ya biashara Wilson Malosha kwenye ufunguzi wa semina ya siku tano kuhusu Umiliki bunifu na kusisitiza vyombo vya habari kuwalipa wasanii wanaotumia kazi zao . 

 

 

JANE JOHN

MACHI 07, 2017

 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment