Responsive image
Responsive image
Posted : March 06, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres
Responsive image

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya Siku MBILI nchini KENYA.

 

Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric amesema Antonio Guterres atakutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Serikali ya KENYA na kujadili masuala kadhaa ya kikanda.

 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atashiriki katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Mjini Nairobi.

 

 

GHANIA JUMBE

MACHI 05,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment