Responsive image
Responsive image
Posted : May 16, 2018 (7 days ago) By TBC
Responsive image
Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubeir
Responsive image

Waumini wa dini ya Kiislamu kesho wanaanza kufunga Ramadhani kufuatia kuandama kwa mwezi.

Akitangaza kuandama kwa mwezi katika makao makuu ya Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema mwezi umeonekana  katika  mikoa mbalimbali nchini kwa hivyo waislamu wote wanapaswa kuanza kutekeleza  ibada ya funga  kuanzia kesho.

Ibada ya funga ni utekelezaji wa moja ya nguzo tano za Kiislamu.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment