Responsive image
Responsive image
Posted : April 13, 2018 (a week ago) By TBC
Responsive image
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba
Responsive image

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba ameonya juu ya uvamizi wa maeneo ya shirika hilo ambayo yametengwa maalum kwa ajili ya  kuweka vituo vya kurushia matangazo ya shirika hilo.

Dokta Rioba ametoa onyo hilo alipokuwa akikagua eneo la TBC Jijini DSM ambalo limevamiwa na jitambulisha kwa jina la Kilimo Two na kugeuza kuwa eneo la kuegesha magari.

Dkt. Rioba amewataka vijana hao kuondoka na kuwaonya watu wengine juu ya uvamizi wa maeneo ya shirika hilo.

Shirika la Utangazaji Tanzania linamiliki maeneo mbalimbali hapa nchini ambayo yamewekwa mitambo ya kurusha matangazo yake.

ALPHA WAWA

APRILI 13, 2018

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment