Responsive image
Responsive image
Posted : December 28, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
George Weah
Responsive image

Mwanasoka wa zamani wa vilabu mbalimbali barani Ulaya George Weah anayegombea urais nchini Liberia kupitia chama cha upinzani anaongoza katika matokeo ya awali ya kura zilizohesabiwa mpaka sasa katika uchaguzi wa awamu ya pili nchini humo.

Weah  mwenye umri wa miaka 51 anatazamiwa kuibuka mshindi dhidi ya mpinzani wake Makamu wa Rais wa nchi hiyo Joseph Boakai .

Kwa mujibu wa habari kutoka vyombo mbalimbali Weah anatajwa kuongoza katika majimbo 12 ya uchaguzi kati ya majimbo 15.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment