Responsive image
Responsive image
Posted : October 11, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula.
Responsive image

Naibu waziri  wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Angelina Mabula amemuagiza mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora John Bosco kuvirejeshwa kwa wamiliki halali viwanja mbalimbali  vikiwamo viwanja sita vya Chama Cha Mapinduzi ambavyo vimemilikishwa kwa watu binafsi.

 

Mabula ametoa agizo hilo kufuatia  watalaam wa ardhi waliokiuka maadili kwa kugawa kiwanja moja kwa zaidi ya mtu mmoja na amewataka kutoa maelezo ya kina kuhusiana na ukiukwaji huo wa maadili ya kazi.

 

Pia amesisitiza kwa taasisi mbalimbali kuweka alama za mipaka katika viwanja wanavyovimiliki.

 

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa maagizo ya kuchukuliwa hatua  kwa watumishi waliogawa viwanja kwa zaidi ya mtu mm

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment