Responsive image
Responsive image
Posted : October 12, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Responsive image

Rais Dkt. John Magufuli amewasili  Zanzibar ambapo  tarehe 14 mwezi huu atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kilele cha wiki ya vijana kitaifa zitakazofanyika katika uwanja wa Amaan.

Rais Magufuli ambaye ameongozana na mke wake Mama Janeth Magufuli amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment