Responsive image
Responsive image
Posted : August 28, 2017 (8 months ago) By TBC
Responsive image
Liverpool wapelekea kilio kwa mashabiki wa arsenal
Responsive image

Ligi kuu ya England imeendelea ambapo Liverpool wamepelekea kilio kwa mashabiki wa arsenal baada ya kuitandika bao nne kwa bila katika dimba la Anfield

Roberto Firmino alikuwa wakwanza kufungua kapu la magoli mnamo dakika ya 17, sadio mane akaweka bao la pili kabla ya kwenda mapumziko Mohamed Salah akatandika msumari wa tatu mnamo dakika ya 57 kipindi cha pili na daniel staridge akaifungia Liverpool bao la nne dakika ya 77 .

Liverpool sasa wanajiweka katika nafasi ya pili chini ya Manchester united baada ya kukusanya alama 7 katika michezo mitatu waliocheza.

 

Evance Mhando

Agosti 2​8​ ,201​7

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment