Responsive image
Responsive image
Posted : May 18, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
Timu ya Taifa ya vijana ya chini ya miaka kumi na saba Serengeti Boys
Responsive image

Timu ya Taifa ya vijana ya chini ya miaka kumi na saba Serengeti Boys leo jioni  inashuka tena dimbani kucheza mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi dhidi ya Angola.

Serengeti Boys inalazimika kushinda mchezo huo dhidi ya Angola ili  kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kuingia nusu fainali ya michuano hiyo ya Afrika kwa vijana.

Katika mchezo wa kwanza Serengeti Boys ilitoka sare ya bila kufungana na Mali ambao ni mabingwa watetezi wa michuano hiyo.

TBC Taifa itatangaza mchezo huo moja kwa moja kutoka nchini Gabon.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment