Responsive image
Responsive image
Posted : May 16, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
Rais wa shirikisho la Riadha nchini , Athony Mtaka
Responsive image

Wachezaji watatu wa timu ya  taifa ya riadha ya vijana wenye umri chini ya miaka 18 ya Tanzania wamefuzu kushiriki mashindano  ya dunia yatakayofanyika Jijini Nairobi mwaka huu baada ya kufanya vyema kwenye  michuano ya vijana ya Afrika yaliyomalizika jijini Dar es salaam.

Rais wa shirikisho la Riadha nchini , Athony Mtaka amesema, kufuzu kwa vijana hao kucheza mashindano ya dunia kunaonyesha  kukua kwa mchezo wa riadha hapa nchini.

Timu ya taifa ya riadha ya tanzania imefanya vyema katika mashindano hayo kwa kunyakua medali mbalimbali ambapo jumla ya nchini saba kutoka katika ukanda wa Afrika mashariki na kati zilishiriki.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment