Responsive image
Responsive image
Posted : May 09, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
Umoja wa vyombo vya habari nchini Kenya kuandaa midahalo itakayo wakutanisha wagombe Urais na wagombea wenza.
Responsive image

Umoja wa vyombo vya habari nchini Kenya umetangaza kutayarisha midahalo mitatu tofauti itakayo wakutanisha wagombe Urais na wagombea wenza.

Akiongea na waandishi wa habari Jijini Nairobi, Mwenyekiti wa kamati ya matayarisho ya midahalo hiyo, Wachira Waruru amesema midahalo hiyo itafanyika kwa nyakati tofauti.

Amesema mdahalo wa kwanza utawahusisha wagombea wa urais ambao utafanyika  Julai 10, na mdahalo wa pili utawakutanisha wagombea wenza na utafanyika Julai 17 wa mwisho utafanyika Julai 24 mwaka huu

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment