Responsive image
Responsive image
Responsive image
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Kenyatta akemea vitendo vya vurugu kuelekea uchaguzi mkuu
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema utamaduni wa vurugu na vitendo vilivyoko kinyume na maadili, havitaruhusiwa wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Responsive image
Responsive image