Responsive image
Responsive image
Responsive image
Mkurugenzi Mkuu wa TBC (kushoto) akiwa katika eneo ambapo gari alilopanda liliteleza na kupinduka baada ya kuwagonga waenda kwa miguu
Mkurugenzi Mkuu TBC apata ajali mkoani Kigoma.
Watu wawili wamekufa wilayani Kasulu mkoani Kigoma katika ajali ya gari la Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC Dkt. Ayub Rioba lililokuwa likitokea wilayani Kibondo kwenda Kigoma Mjini.
Responsive image
Responsive image