Responsive image
Responsive image
Responsive image
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyeng'olewa Rex Tillerson
Trump ‘amtumbua’ waziri wa mambo ya nje Rex Tillerson
Rais wa Marekani Donald Trump amemuondoa madarakani waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Rex Tillerson (64), na kumteua Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Mike Pompeo kushika nafasi hiyo.
Responsive image
Responsive image