Responsive image
Responsive image
Responsive image
Mkuu wa kitengo cha ukuzaji biashara na masoko wa benki ya MCB Valence Luteganya (wa tatu kushoto) akiongea na waandishi wa habari katika uzinduzi wa huduma mpya ya benki hiyo ya Mikopo ya dharula.
MCB yaanzisha huduma ya mikopo ya dharura
Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) imeanzisha huduma ya mikopo ya dharura ambayo rejesho lake hukatwa kwenye mshahara wa mteja (Salary advance) kwa lengo la kumwezesha mteja kuyakabili mahitaji muhimu yanayojitokeza wakati wowote
Responsive image
Responsive image