Responsive image
Responsive image
Responsive image
wasanii Ambwene Yesaya maarufu kama AY na Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA
Mahakama kuu imetupilia mbali rufaa ya TIGO dhidi ya wanamuziki Mwana Fa na AY.
Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya Tigo kupinga kuwalipa wasanii Ambwene Yesaya maarufu kama AY na Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni mbili kwa kutumia nyimbo zao bila kulipa.
Responsive image
Responsive image