Responsive image
Responsive image
Responsive image
Makamu wa Kwanza Rais wa Sudan Kusini Jenerali Taban Deng Gai (kulia) ameoimba Tanzania kuisaidia katika utoaji wa mafunzo kwa wataalamu wake hasa wa sekta ya afya, kilimo na kupatiwa walimu wa lugha la Kiswahili alipokutana na makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu
Sudan Kusini yaomba msaada wa wataamu wa kiswahili,afya na kilimo
Serikali ya Sudan Kusini imeoimba Tanzania kuisaidia katika utoaji wa mafunzo kwa wataalamu wake hasa wa sekta ya afya, kilimo na kupatiwa walimu wa lugha la Kiswahili
Responsive image
Responsive image