Responsive image
Responsive image
Responsive image
Kikosi cha Taifa Stars.
Taifa Stars imeilazimisha Benin sare
Timu ya taifa ya TANZANIA Taifa Stars imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji Benin katika mchezo wa kirafiki wakimataifa uliofanyika mjini Cotonou nchini Benin.
Responsive image
Responsive image