Namna ya kufungua Kampuni
“Watanzania wengi wana mitazamo hasi; mara nyingi desturi ya mtu aliyeshindwa ni kunyooshea watu kidole au mamlaka vidole...” Timoth Mwambenja.
Kampuni
Hayo yakiwa ni maneno ya mmiliki mwenza wa kampuni Shine up ndugu Timoth Mwambenja, Je unatambua namna ya kufungua kampuni na namna Mtanzania huyu alivyoweza kumiliki kampuni hiyo ungana na Adeladius Makwega katika mahojiano hayo.

Unaweza kuzisikiliza makala hizo hapo chini
Mwandishi:   |   Adeladius Makwega
Mhariri   |   Katherine Nchimbi
MOST POPULAR NEWS