Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Thursday
Sep 09th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Local General JK azindua miradi Serengeti

JK azindua miradi Serengeti

Rais JAKAYA KIKWETE

Rais JAKAYA KIKWETE jana amezindua miradi MIWILI mikubwa ya aina yake wilayani SERENGETI Mkoani MARA likiwemo bwawa la MANCHIRA ambalo maji yake yatanufaisha wananchi zaidi ya elfu 40 wa mji wa MUGUMU na vijiji SITA vinavyozunguka bwawa hilo.

Kwa mujibu wa Rais KIKWETE bwawa hilo ni kubwa kuliko mabwawa yote nchini na ujenzi wake umedumu kwa miaka 30 hadi kukmilika kwake.

Hatua moja mbele ya Kimaendeleo baada ya kuzinduliwa kwa miradi MIWILI mikubwa wilayani SERENGETI likiwemo bwawa la MACHIRA ambalo limepewa jina la habari ya nchi kavu kwa kauli ya Rais JAKAYA KIKWETE ya tuliahidi tumetekeleza.

Kwa sasa hamu kubwa ya wakazi wa wilaya ya SERENGETI ni kuona barabara zinaimarisha na ujenzi wa uwanja mkubwa wa kimataifa ndege ambapo Rais KIKWETE anasema hayo yote yatafanyika lakini kwa awamu.

 
Banner