Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Monday
Sep 06th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Local General JK afungua ujenzi wa barabara ya Horohoro

JK afungua ujenzi wa barabara ya Horohoro

RAIS JAKAYA KIKWETE

RAIS JAKAYA KIKWETE ameweka jiwe la msingi katika eneo la MIKOCHENI Jijini TANGA ikiwa ni hatua moja ya kuanza rasmi ujenzi wa Barabara ya TANGA/HOROHORO yenye urefu wa kilomita 65 kwa kiwango cha lami, na hivyo kuleta matumaini ya kutatua tatizo la usafiri kati ya TANZANIA na KENYA ambalo limekuwa likiwakabili wananchi kwa muda sasa.

Sambamba na uwekaji wa jiwe hilo la msingi Rais KIKWETE pia  amezindua kinu cha kusagisha saruji na mtambo wa kufungashia bidhaa katika kiwanda cha saruji cha SAMBA kilichopo mjini TANGA .

 
Banner