Matokeo ya awali ya uchaguzi uliofanyika jana nchini SRI-LANKA, yanaonyesha kuwa chama cha Rais MAHINDA RAJAPAKSA, wa nchi hiyo, kinaongoza kwa kura katika uchaguzi wa wabunge.