Waziri Mkuu wa ISRAELI BENJAMIN NETANYAHU, amefuta safari yake nchini MAREKANI, ambako alipanga kuhudhuria mkutano kuhusu usalama wa zana za nyuklia.