Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Thursday
Sep 09th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home EAST AFRICA HOME Baraza la Usalama kujadili kuiwekea vikwazo Iran

Baraza la Usalama kujadili kuiwekea vikwazo Iran

Rais wa IRAN, MOHAMOUD AHMEDNAJAD


Baraza la usalama la umoja wa mataifa linatarajia kukutana leo kupiga kura za maoni za kuiwekea vikwazo vya kiuchumi IRAN kutokana na kushindwa  kupunguza uzalishaji wa nyuklia.

Akizungumza katika mkutano wa nchi za Bara la ASIA kuhusu masuala ya ulinzi na usalama Rais wa IRAN, MOHAMOUD AHMEDNAJAD amepinga mkakati huo wa nchi yake kuwekewa vikwazo na kusema kuwa  mazungumzo bado yanahitajika, huku akisistiza kuwa baraza hilo, la usalama la umoja wa mataifa  linatakiwa kuheshimu haki zao.

Akizungumzia mkakati huo, waziri wa mambo ya nje wa MAREKANI, HILLARY CLINTONY amesema kutokana na majadiliano ya muda mrefu na nchi hiyo bila mafanikio kuhusu uzalishaji wa NYUKLIA, hatua ya kuiwekea vikwazo nchi hiyo ni hatua ya kuridhisha.


Wakati IRAN ikiendelea kusistiza kuwa inazalisha NYUKLIA kwa matumizi ya binadamu, MAREKANI imekuwa ikizishawishi nchi za CHINA, UFARANSA, UJERUMANI NA UINGEREZA kuiwekea vikwazo IRAN.

 

 

 

 

 

 

 

 

Last Updated ( Thursday, 10 June 2010 08:11 )  
Banner