Balozi wa
Balozi MUTISSO ametoa kauli hiyo katika mahojiano na TBC kuhusu ushirikiano uliopo kwa nchi zinazounda jumuiya hiyo ambazo tayari zimeanza kutekeleza itifaki ya soko la pamoja.
Akizungumzia uelewa mdogo miongoni mwa wakazi wa AFRIKA MASHARIKI juu ya maana ya soko huria, Balozi MUTISSO amesema serikali na asasi zilizopo zinawajibika kusambaza elimu kuhusu mchakato wa shirikisho na jinsi ushirikiano huo unavyofanya kazi.



