Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Monday
Sep 06th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Africa Politics Wakazi wa Mombasa walazimika kutembea

Wakazi wa Mombasa walazimika kutembea

Matatu ikiwa barabarani

Mamia ya wakazi wa mji wa MOMBASA nchini KENYA, leo wamelazimika kutafuta njia nyingine za usafiri, badala ya kutumia usafiri wa kawaida waliouzoea maarufu kama MATATU, au dala dala, baada ya askari wa usalama barabarani nchini humo, kuanza ukaguzi wa kushtukiza katika magari hayo ya usafiri.

Askari hao wa usalama barabarani, walilazimika kuyasimamisha baadhi ya mabasi hayo ya abiria, na kukagua kama yameweka vidhibiti mwendo, kwa ajili ya usalama wa abiria pamoja na madereva wenyewe.

 

 

Last Updated ( Wednesday, 02 June 2010 14:43 )  
Banner