Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Monday
Sep 06th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home About Tanzania Benki M yazindua huduma mpya

Benki M yazindua huduma mpya

Benk M tanzania

BENKI M TANZANIA LTD imezindua huduma mpya ya kutumia mtandao wa kompyuta inayojulikana kama MONEY WIRELESS itakayomuwezesha mteja kuangalia salio na kuhamisha fedha akiwa mahali popote palipounganishwa na internet

Akizungumza na waandishi wa habari jijini DAR ES SALAAM leo Mkurugenzi wa ICT wa benki hiyo ABDUL BANDAWE amesema huduma hiyo imewekewa usalama na kampuni ya kimataifa ya ORACLE ili kulinda mteja asihamishiwe fedha zake za watu wengine.

BENKI M pia imejipanga kujipanua katika mikoa mingine hapa nchini baada ya kuongeza huduma zingine za wajasiriamali wadogo.

Last Updated ( Thursday, 10 June 2010 10:40 )  
Banner